Mtanzania Afariki jangwani na mkenya kuvuka Boda
Raia Hawa wawili akiwemo Mtanzania mmoja na Mkenya wamefariki kwenye Jangwa la Sahara wakijaribu kuvuka kwenda nchi za Ulaya (Europe) kutafuta maisha .. Watu Hawa walitokea Sudan Kisha wakaingia Libya na kuanza kukatiza Kwa kutembea kwenye jangwa takribani urefu kilometer 50 wakikatisha libya ili waweze kutokea nchi ya Morocco Kisha wavuke kwenda Spain..
Inasemekana walikua wamebakiza kama urefu wa kilometer 5 hivi waweze kukatisha lakini kutokana na Kiu na jua Kali walishindwa kupenya na wote wawili wamefariki Dunia ...
Maoni
Chapisha Maoni